NECTA hudumieni wateja wenu kwa uadilifu

abdulrahim

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
408
286
ac3ddb4a0bde2b0c1962161853680d2c.jpg

Sarakasi hizi za kiutendaji...uliona wapi malalamiko yako yapitie kwa mlalamikiwa...Necta ni independent organ inabidi uhudumie mteja according to matakwa yake na si hivyo umnavyofanya...
Hii ni harufu ya kufunika jambo..

Hili bandiko limenishtua saana kwakweli..

Mnyonge mnyongeni ila Kamba yake mpeni!!
 
duh kwa maana hiyo walikosa umakini wakati wa uhakiki

Ndio shida ya kufanya kazi kwa kukurupushwa.. Watanzania maeneo yetu ya kazi tujitahidi saana kuzuia kufanya kazi kwa kukurupushwa.. Kwani hawa Utumishi wa Umma siku zote walikuwa wanafanya nini pale Kivukoni?

Hili si ni jukumu lao kuhakiki watumishi kila mara?

Tufanye kazi jamani, Kusubiri matangazo ama matamko ya wakuu ni kuua taaluma yako ya kazi...

Kwanza kuna wakurugenzi wa idara husika wanatakiwa Kujiondoa kwenye mamlaka zao kwani kuwa na watendaji 9K ambao hawana sifa na ulikuwa unawalipa all those times ni AIBU kitaaluma.
 
kabisa mkuu
 
Bnafs nmeenda kama nlvyo ahd jana. Wana aibu sn kwel weng tumeonea sana. Ni wapole kasoro dada mmoja mjing tu hv anajibu kwa nyodoooo. Hakika tutashinda.
 
Sasa hilo tangazo limetoka wapi
Halafu huyo dada yukoje..na wa ofiso gn km vipi tumchane asituletee use..... wakati watu wako kwenye vilio...anajiona kafika
 
Na kuna watu ambao hawakufanya uhakiki kwa sababu zozote zile..kama kutokuwepo nchini nk..wote wamewekwa kwenye kundi hilo la vyeti feki..
 
Back
Top Bottom