Gharama za kutumia miamala ya simu zinabadilika kila kukicha na hakuna taarifa kwa watumiaji. Kwa sasa ukituma 70,000 kwa tigopesa unakatwa 3,100, hapo kwanza kiwango kilikuwa chini sana nadhani 350 kwa mtumaji na mpokeaji ndio anakatwa zaidi wakati wa kutoa. Kwa sasa si mtumaji wala mpokeaji wote ni kuchinjwa fungu refu.
Swali la kujiuliza; Ni sahihi kwa mtumaji na mpokeaji kulipishwa tozo kubwa kiasi hiki?
Twaelekea wapi na maisha haya magumu kila kona? Lazima tupige kelele kwa kweli, maaana speed ya lori inaongezeka na barabara ina makorogesheni kibao.