Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,125
- 1,395
Leo ilikuwa siku Ya wafanyakazi dunia ambapo kitaifa ilifanyika mkoani Kilimanjaro Mgeni rasmi akiwa mh Raisi
Sehemu nyingine Wageni rasmi walikuwa wakuu mikoa yao
Lakini mkoa wa Dar es salaam Mgeni rasmi ni mke wa spika mstaafu Samwel sitta bi Magreth sitta
Hii inamanisha nini kwa Bashite Hata watu anaowaongoza hawamtaki wameshindwa Hata kumualika
Inabidi ajitafakari Hata Kama Baba anambeba inabidi tu yeye aombe kujiuzulu ili ofisi achukue mtu mwingine ambaye atapewa ushirikiano na wafanyakazi Wenzake, maana mazingira hayo aliyonayo sasa kazi haziwezi tendeka kwa ufanisi
Angalia taarifa zote za Habari Leo zimetawaliwa na wakuu wa mikoa sijui yeye anajisikiaje Leo....!!
Mwisho nivipongeze vyama vya wafanyakazi mkoa wa Dar es salaam kwa maamuzi mliyofanya Leo...!!