McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Ukiangalia kwa umakini kuna baadhi ya viongozi tena hasa hawa wa kisiasa huwa wanakurupuka sana wanafanya hata mambo yaliyo juu ya mamlaka na uwezo aliopewa kisheria.
Hivi leo mkoa wa mkoa anazuia uwepo wa films za kigeni je anajua biashara vizuri kwa akili zangu nafikiri biashara inapokuwa na ushindani ndio inakua kuliko akiwa mmoja.
Swali langu
Je, wasambazaji nao wamekubali kubuluzwa bila kwenda kupinga mahakamani?
Je, mahakama nayo imeridhika na uvunjwaji wa sheria kama huu?