Wakati mahojiano yanaendelea, Tanesco wamefanya yao. Wamekata umeme. Tafadhali, tunaomba marudio ya kipindi hiki ili kwa wale waliokosa kipindi hiki, aidha kwa kuwa wapo vibaruani au kwa kukatiwa...
Yaani hiki king'amuz cha Azam TV kina kela kwakweli,nipo tu home masaa mawili sasa mvua inanyesha hat kuangalia TV siwezi.
Yaani hawa jamaa mvua ikinyesha tu matangazo yanakata,signal zinashuka.Da...
Habari ndugu zangu !!
Leo ni Mei mosi hapa Moshi ki ukweli walimu hapa wananishangaza sana. Pamoja na madai yote ambayo hayajalipwa, kutoboreshwa kwa mazingira ya kazi na mambo mengine mengi...
Akitangaza wakati wa sherehe za mei Moshi mjini Moshi Jana Rais Magufuli alisema kuna watumishi wanaonekana walitakiwa wawe wameshastaafu lakini bado wapo kazini kisa waligushi tarehe za kuzaliwa...
nilikuja kufungua account hapo wiki lililopita ila sikupewa card nikaambiwa nitapigiwa simu kuna utaratibu wa kubadilisha card za.Wateja mpaka sasa sijui nitapigiwa simu lini naomba nijue muda...
Mchekeshaji nguli duniani MC Pilipili anastahili kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kufutia kufanikiwa kuwa-inspire vijana wengi kujiunga na u-MC.
Salamu kwako wewe uliechaguliwa kupitia mfumo wa TCU lakini huna uhakika kama kile ambacho umekisoma unaweza pata ajira serikalini ama katika taasisi ambazo si za kiserikali.
Tangu nilipoanza...
Wadau wetu wa hali ya hewa kwa hivi sasa Utabiri wetu wa hali ya hewa wa kila siku pia utakuwa unapatikana kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo. Fuatilia
Habari wakuu,
Kuna wizi wa kimtandao unafanywa na watu wenye nia ya kutapeli watu.
Leo nimepigiwa simu na mtu mwenye namba hizo hapo juu, bahati nzuri sikuwa namsikia vizuri nikamwambia atume...
Mtizamo wangu kama mwananchi wa kawaida juu ya mgogoro wa muda mrefu wa vibanda stand ndogo Arusha. Mgogoro huu ukiutazama katika mtizamo wa kutokua na maslahi yoyote (neutral view) unaweza...
Habarini za asubuhi wakuu,
Ni siku nyingine tena tunaingia mtaani kusaka mkate wa siku wakati joto la watumishi hewa kupungua maofisini kuanzia leo May 02,2017 likionekana kutawala miongoni...
Wahudumu wa afya hasa manesi mahususi kwa kupima ujauzito, wife wangu ameenda kupima ili aanze klinik cha ajabu anaambiwa ili apimwe lazma mme niwepo, wao wako sahihi ila mm sko tanzania kwa sasa...
Serikali ijitahidi kuzuia vikundi hivi vya wanamgambo, dah huko tunakoelekea Mungu atuepishie jukumu la usalama wa raia na mali zao unaanza kwa raia wenyewe tusichoke kuripoti
Taasisi ya Elimu imeandika na kusambaza vitabu nchi nzima kwa ajili ya kufundishia wanafunzi darasani. Pia wanafanya semina katika mikoa mbalimbali kuelekeza walimu namna ya kutumia vitabu hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.