ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
UPELELEZI KESI YA WEMA SEPETU WAKAMILIKA
Upelelezi wa kesi ya kukutwa na bhangi inayomkabili Msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Isaack Sepetu (28) na wenzake wawili akiwemo mfanyakazi wake wa ndani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu umekamilika. Wakili wa Serikali, Onolina Moshi ameomba kesi hiyo iahirishwe na ipangiwe tarehe kwa ajili ya washtakiwa kusomewa maelezo ya awali (PH). Imeahirishwa hadi Juni Mosi, 2017.
My take; hili litakua piga lingine kubwa kwa Wema na Makamanda wote
Wema anasubuiri hukumu tu.