Yupo wapi DJ Kuku.

Explainer

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
516
504
Kumradhi ndugu waheshimiwa kama ntakuwa nimewaudhi hususa kwa wale wenzangu wa vyeti feki.
Lengo kuu la uzi huu ni kutaka kujua yupo wapi DJ wetu wa Treni ya Dar es salaam kwenda Pugu?? Natambua uwepo wenu humu JF wa ndugu wapanda treni.. Tujuzane wakuu.
 
Back
Top Bottom