Kuna barua natakiwa kutumiwa ila sina sanduku la posta, napataje msaada?

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Wakuu habari, kuna barua ya muhimu amabayo natakiwa kutumiwa, haifai kutumia e mail wala njia ntingine za electroniki, ila tatizo siana sanduku la barua, mimi nipo Dar na sanduku la barua nililokua natumia zamani lipo kijijini mbali sana
je kuna njia gani naweza kupata barua yangu? au posta wanaweza kunisaidia au mtu binafsi anayeweza kunipa msaada plz
 
Tafuta ems. Wakutumie bei nikama 10000

Ila kama pia umeshindwa hivi funga safari ifuate tu barua
 
mh yaani umeshindwa hata kutumia anuani ya taasisi kama kanisa, shule au hospitali ya karibu?
 
Wakuu habari, kuna barua ya muhimu amabayo natakiwa kutumiwa, haifai kutumia e mail wala njia ntingine za electroniki, ila tatizo siana sanduku la barua, mimi nipo Dar na sanduku la barua nililokua natumia zamani lipo kijijini mbali sana
je kuna njia gani naweza kupata barua yangu? au posta wanaweza kunisaidia au mtu binafsi anayeweza kunipa msaada plz
Kuna kitu kinaitwa Poste Restante, hilo ni box linalokusanya barua ambazo hazina box number, mwambie aelekeze mkoa/wilata aandike Poste Restante utaikuta humo!
 
Wakuu habari, kuna barua ya muhimu amabayo natakiwa kutumiwa, haifai kutumia e mail wala njia ntingine za electroniki, ila tatizo siana sanduku la barua, mimi nipo Dar na sanduku la barua nililokua natumia zamani lipo kijijini mbali sana
je kuna njia gani naweza kupata barua yangu? au posta wanaweza kunisaidia au mtu binafsi anayeweza kunipa msaada plz
Nicky how old are you?
 
Back
Top Bottom