Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Kasesela yupo wapi?

ketete

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
792
793
WanaJF nilikuwa nafatilia suala la Timu ya Lipuli jana na mkuu wa mkoa wa Iringa. Lakini ghafla nikamkumbuka mhe.kasesela mkuu wa wilaya ya Iringa mjini.

Mwanzoni alikuwa maarufu kwa kuvaa kombati za jeshi,kubeba waandishi na watu mgongoni mwake pamoja malumbano na mhe.Msigwa.

Nimejiuliza Kasesela mbona kimya kwa sasa?

Kulikoni?
 
Ameona Daudi alivyofichuliwa siri za vyeti kuwa anatumia jina la Paul Makonda sio lake
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom