Msaada tutani kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mmoja wa mzazi wangu wa kufikia kakumbwa na swala la vyeti feki. Sasa changamoto inakuja yeye alikopa nyumba ya serikali na akawa...
Habari zenu, kuanzia leo May 04 2017 Easy Tv wametoa tangazo linalosema kuna baadhi ya chaneli hazitaonekana kwenye King'amuzi cha Easy Tv. kwasasa karibu mwezi chaneli za MBC zilikuwa zinatangazo...
Watumishi waliobainika na vyeti feki na kuhisi wameonewa, Waziri Angellah Kairuki amelieleza Bunge kuwa watatakiwa kuandika barua kwa Katibu Mkuu na nakala kwa baraza la mitihani.
Amesema barua...
Mida ya asubuhi leo napokea sms hii kutoka kwa babu(mganga).hivi hawa matapeli number zetu huwa wanatoa wapii?? Nimejifanya kumwambia babu umekosea number ila na mimi nataka huo utajiri ili...
Jamani wakuu nakumbuka Mh Rais alitangaza kuwa mwaka huu wa fedha atatoa nafasi za ajira 52000, leo nimeona kwenye gazeti kuwa nafasi zitakazotangazwa ni 15,000 , hebu mwenye taarifa ya nafasi...
(1)Kuanzia Mwaka 2012 Serikali iliipandisha Hospital hiyo hadhi na kuatangaza kuwa itakuwa Mwaajiri wa wafanyakazi
(2)Kuanzia hapo ikaanza kulipa mishahara kwa kuwapatia kila mfanyakazi Check...
Kuna jambo linanitatiza sanaaa mpaka nahisi kuchanganyikiwa, ni hivi:-
Toka nipate wazo na hatimae kuanza ujenzi wa kumjengea bi mkubwa (mama) nyumba, mzunguko wa pesa umekatika gafla, na...
Wale wahudumu husema wanafanya vile kwa mujibu wa sheria za kimataifa, je hiyo sheria ilinuia nini kutaka taa zizimwe ndani wakati pilot yupo kwenye cockpit na si kwamba taa zinamwumiza asione...
Vitendo vya wanafunzi kupewa mimba vinazidi kuendelea ambapo Leah Mwakyembe (15), mwanafunzi
wa kidato cha pili katika shule ya Sekondari Ikimba na mkazi wa Kata ya Ikimba wilayani Kyela, Mkoa wa...
Kwanza kabisa natoa hongera kwa Jeshi la Polisi haswa kamanda Wa mkoa Wa DSM Kamanda Siro kwa kuamua kujenga Kituo kikubwa "class c" ktk eneo la Kiluvya, naamini Kituo hicho ndicho kitakuwa...
Moja ya kikwazo kikubwa cha maendeleo Tanzania ni kwamba viongozi wengi si wa kweli! Na msingi wa njema zote ni ukweli. Tunaweza kukataa Watu si kwa
Sababu siyo wasafi Ila si wa Chama changu...
Mama huyu daktari msaidizi (AMO) halmashauri ya wilaya Mpwapwa ambaye alikuwa amebakiza miaka miwili tu astaafu hakugushi cheti bali kilichomponza ni kuweka majina mawili ya mume wake kulinda ndoa...
Wakuu,
Nauliza hili agizo la shule zote za serikali na binafsi kuwa na mihula miwili lipo? Nimepata habari baadhi ya wamiliki wa shule binafsi wanapuuzia agizo hilo au kuna mabadiliko?
Ndugu John Marandu (59) alikuwa Mwandishi wa RTD na Baadaye Kuwa Mwandishi wa ITV na Redio one. Na Baadaye ITV ilipoanza Kituo Arusha alikuwa Mkuu wa Kituo mpaka alipopishana Kauli na Mwajiri...
Dah hakyamungu,hivi ni kweli ile ajali ndo ilimfanya akawa anaongea vitu vya ajabuajabu?anyway nafikiri walimpa sumu kwa kweli au walimloga lakini zamani alikuwa ni genius na kwenye utawala wake...
Habari Wakuu,
Katika jamii ya Kitanzania kama sio Africa nzima tumekuwa tukishuhudia watu wanaobahatika kuongezeka ukubwa wa mwili pamoja na kuota vitambi wakisifiwa na kuonekana kama wametusua...
Mwanamuziki wa nyimbo za miondoko ya asili, Mrisho Mpoto ameonyesha kusikitishwa kwake na baadhi ya watu kumtukana baada ya yeye kuonyesha kumuunga mkono Rais Dkt. Magufuli
Mpoto amesema kuwa...
Nikiangalia jinsi matusi yanavyotiririkaga instagram najiuliza hivi ushahidi wake hautoshi kumfunga mtu.au insta ni ardhi isiyotawalika kisheria?njooni mtujuze
Kumekuwepo na taarifa kwamba eti wanataka kumshatki DJ Murphy kwa kutafsiri movie za nje kwa kiswahili, aisee hawa wehu tumewalegezea sana embu twende nao samba sasa kama mbwai iwe mbwai tu.
Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.