Huu ni Uzi Maalumu kwa ajili ya wakazi wa MEATU au hata diaspora(waliozaliwa MEATU ila wanaishi nje!)
Tukutane hapa tusheie Fursa, News etc[/QU
Mji wa mwanuzi ni mbuga za wanyama,makazi yalilazimishwa tu,kama wewe ni mkazi wa mji huo utakubaliana nami.
Hii ndio mada ya kutukutanisha hapa??????????!!!!!!Mji wa mwanuzi ni mbuga za wanyama,makazi pale yamelazimishwa tu,anayebisha si mkazi wa mwanuzi.