Se-ronga
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 650
- 909
Heri ya Mei Mosi 2017.!
Wakuu hili sakata la uhakiki limeondoka na ex-boss wangu.Kiukweli nilivyoona jina lake nimesikitika sana kwa sababu ana miaka zaidi ya 25 kwenye utumishi wa Umma na alikuwa amebakiza miaka kama 6 kustaafu kwa lazima
Baada ya kuona jina lake kwenye ile orodha kesho yake nilimpigia simu akapokea nikampa pole.Alichoniambia ni kwamba kama binadamu ameumia lakini hana jinsi zaidi ya kuendelea na shughuli zake za kilimo na biashara ya nafaka aliyokuwa akiifanya hata akiwa kazini
Pole sana Boss wangu na Mama yangu.!