Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
TAHADHARI: Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini(TMA) Imetoa taarifa ya kuendelea kwa vipindi vya mvua kubwa vinavyoambatana na upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika maeneo ya mwambao wa Pwani. .
Utabiri huu ni mpaka siku ya kesho tarehe 04th May, 2017. Ambapo kutakuwa na vipindi vifupi vya mvua vinavyozidi Milimita 50 ndani ya masaa 24 vikiambatana na upepo mkali unaozidi KM 40 kwa saa.
Pia kutakuwa na mawimbi makubwa yanayozidi Mita 2. Kiwango cha uhakika cha mvua ni asilimia(%) 70.