mm1
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 569
- 170
Kuna jamaa yang yuko njia panda kwa kweli.Kipindi wanakagua vyeti yeye hakuenda kukaguliwa hata siku moja.Orodha ya waliogushi vyeti yeye hayumo,shida anawaza yuko salama kweli kwa hili fagio la Magufuli?
Mbaya zaidi ile list ya wanaotumia cheti kimoja watu wawili haikutolewa hadhalani.Kwa kweli jamaa kakosa confidence hata ya kwenda kazini.
Mbaya zaidi ile list ya wanaotumia cheti kimoja watu wawili haikutolewa hadhalani.Kwa kweli jamaa kakosa confidence hata ya kwenda kazini.