Wanamgambo wa cuf wakifanya mazoezi usiku hatari

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
Serikali ijitahidi kuzuia vikundi hivi vya wanamgambo, dah huko tunakoelekea Mungu atuepishie jukumu la usalama wa raia na mali zao unaanza kwa raia
 
hivi mtu na familia yako unawezaje kwenda kumlinda profesa uchwara kama huyu tena hana hata familia
 
259199a7e9d1e87fcd6c0e7e3a1ef9b5.jpg
 
Serikali ijitahidi kuzuia vikundi hivi vya wanamgambo, dah huko tunakoelekea Mungu atuepishie jukumu la usalama wa raia na mali zao unaanza kwa raia

Kwa nini mnaogopa watu wakifanya mazoezi ? Mnajitayarisha kunyang'anya haki zao hivyo mnafikiri mazoezi yatawaweka sawa kukataa ?
Sio sababu ya kuogopa RAIA wakifanya mazoezi kW kuwa mazoezi ni afya. Acha haki na sheria zitawale taifa
 
Back
Top Bottom