mwenebhukabo
Member
- Mar 2, 2014
- 24
- 11
Habarini wadau,
Nilikuwa na wazo langu la kuanzisha na kurusha kipindi cha burudani cha runinga.Nilifanikiwa kuvitengeneza vipindi vipatavyo sita.Bahati mbaya mtu nliemtegemea kama muongozaji wangu sipo nae kwa sasa kutokana sababu zilizo nje ya uwezo. Naomba kujua :

- Ni taratibu zipi zinafuatwa kupata kituo cha kurusha kipindi.
- Ni taratibu gani zinafuatwa kumpata mdhamini "sponsor"
- Je kwa makadirio ya wenye uzoefu unapokua na kipindi kimoja kinakadiriwa kuleta faida ya shilingi ngapi?(ni kipindi cha dakika 20 kabla ya 10 za matangazo).
- Kipi huwa kinaanza kabla ya chenzie katika utaratibu wa kukiweka hewani.