nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Habari ya mchana wanajamvi,
Kwa wenye taarifa yoyote kuhusu TV 1 na KF'S kwa upande wa kurusha matangazo, kwasasa muda mwingi nembo ya TV 1 inapotokea katika Televisheni kwa juu inaonekana ya KF'S. TV 1 inapatikana kwenye king'amuzi cha Startimes na AzamTv.