Watch TBC Live: Matumizi ya Kikoa Cha .tz (dot tz domain name)!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watch TBC Live: Matumizi ya Kikoa Cha .tz (dot tz domain name)!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Mar 29, 2012.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Wanabodi wenye access na TBC, please watch TBC Live Now, kipindi cha tuambie kinazungumzia matumizi ya kikoa cha .tz (dot.tz), yaani (dot tz domain name).

  Mnaweza kufuatilia kupitia www.facebook.com/tznic au follow it on www.twitter.com/tznic

  Wazungumzaji ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Prof. John Nkoma, Mwenyekiti wa TzNic, Frank Goyayi na Meneja Mkuu wa TzNic, Eng. Abibu Ntagihiye.

  Karibuni sana!.

  Paskali.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Waulize nini tofauti ya .tz na .com?
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Meneja wa TzNic, Abibu Ntahingiye amesema Watanzania wanapaswa kutumia kikoa cha .tz badala ya kushadadia mitandao ya bure ya .com
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Security and the related taxes
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wanapoteza muda tu,kuna malalamiko lukuki kuhusu huduma za makampuni ya simu hazijibiwi na tcra,halafu leo huyu profesa mkoma anazungumzia .tz
  NONSENSE!!
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  They are too expensive. Eti $150 kwa mwaka wakati .com ni chini ya $10 kwa mwaka. Why spend all that kama itakufanya uwe na matatizo ya kifedha kama TBC? Spend responsibly, sio kwa masifa kwa masifa ya kuwa na co.tz halafu unashia kuomba pesa za kuilipia. TBC bado ipo hewani?
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Pasco nakiangalia hiki kipindi. TBC wajipange upya, sio kila mtangazaji ana uelewa wa kila jambo. Huyu Zakaria wa TBC anayewahoji hawa mabwana wa TZNIC anaonekana kutojuwa anaongea nini. Anauliza maswali ya kitoto kabisa. Kwa mfano anauliuza kwa nini mtu anatuma e-mail inarudi? au unatuma document inarudi? These are are just basic questions. Na cha kuchekesha huyu Zakaria anaonekana kuwa confident kutamka maswali ya kitoto hivi.

  Utamuulizaje mkurugenzi wa TCRA kwa nini email zina-bounce? TBC andaeni watangazaji kutokana na fani zao.
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kwa stahili hii TBC haitakuwa hewani kwa muda mrefu. Watu wataikimbia. Kuna maswala muhimu kuhusu electronic communication ambayo yanahitaji kuzungumzwa badala ya vitu kama hivyo.
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Mkuu EMT, gharama ni 24,000 kwa mwaka!, that means 2,000 per month!. Tatizo ninaloliona mimi hapa, kama watu wamezoea dezo huko yahoo, hotmail, g-mail etc, kwa nini sasa waje walipie?.

  Wenzetu Afrika Kusini, maofisi yote na biashara zote halali, lazima zitumie, .za, au japan, kampuni halali zote lazima zitumie .jp. Hivyo Tanzania tufike mahali iwe ni lazima kutumia .tz kwa ofisi zote na biashara zote halali!
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Kiukweli hili somo ni gumu kueleweka, hata ningekuwa mimi, ingekuwa issue!.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Pasco::

  Nini tofauti ya www.pasco.co.tz na http://www.pasco.com?,Nin advante ya .tz over .com?
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Inabidi wajipange upya kunishawishi niwe na .tz
   
 13. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Unajua kirefu cha .com wewe? .com was intended for commercial entities, though inawezekana sio sasa. Halafu matumizi ya kikoa yanategemeana na biashasha yenyewe. Kama biashara iko limited Tanzania labda unaweza kutumia .co.tz. Lakini kama walengwa ni worldwide, bora kutumia .com.
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Turudi kwenye mada wanatakiwa watoe faida za kutumia .tz na kuwaaminisha wamiliki wa site usalama wa site zao Maana hawa watu wakiona kuna habari zinazokichafua chama x hawakawii kuchakachua site yako, imagine JF ingetumia .tz!
   
 15. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  www. pasco.co.tz ni expensive than www. pasco.com.
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mi naona mazezeta wanaotumia kodi yangu kupiga domo tu.upuuzi mtupu.
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Huyu Jamaa anayoongea sasa mwambie akaze sauti.
   
 18. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #18
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Naona huyu Zakaria anaona amevaa suti nzuri sana na sasa anataka kujua kwa nini JF and the like wanajadili utendaji mbovu wa viongozi na watendaji mbalimbali.
  Anaelekezwa lakini inaonekana haelewi kabisa Prof. anachomjibu .
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Basi aina tija kujiunga na .tz wkt content ni ile ile yl gharama ni kubwa.
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  .com inatumiwa na US, kuna utofauti wa kutumia .com na .co.tz, ukitumia .com taarifa zako zitakuwa dispalyed kwenye search results mwanzoni kabisa na and vice verse to .co.tz

  google wao .edu huwa zinapewa first priority kuappear ktk links za mwanzo, well na katika hizo .edu vyuo/taasisi za USA huwa zinakuwa dispalyed kwanza
   
Loading...