Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waliahidi kwenda mahakamani kufungua shauri kuhusu makato makubwa ya bodi ya mikopo yaliyovunja sheria. Mpaka leo wamezubaa , LHRC ndio wamekwenda mahakamani. Wafanyakazi kataeni kukatwa hela...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Habari wanajukwaa,ni mara yangu ya kwanza kuposti topic kwenye jukwaa hili,naamini nitapata majibu kulingana na taratibu na kanuni ili nipate kuelewa. Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 28 hapa tangu nimalize chuo kikuu miaka 4 iliyopita sijafanikiaa kupata ajira na nimeshidwa kujiajiri kutokana na kukosa mtaji wa kibiashara...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
*KAMATI MAALUM UVCCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DSM YATEULIWA* Mkuu Wa Idara Ya Vyuo Na Vyuo vikuu (UVCCM) Taifa Ndugu Daniel Zenda Leo Tarehe 3/05/2017 Amekutana na Kufanya Kikao Na Wenyeviti Na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni nguvu gani ya ziada inayoifanya JUPITER kuwa na joto kali sana, wakati iko mbali sana na jua!? Wataalam karibuni.
0 Reactions
8 Replies
993 Views
eid Mubarak wana jf naombeni ufafanuzi katika hili jana nilikiuwa naangalia habari citizen TV ya Kenya. kulikuwa na taarifa kwamba waislamu wa kenya wameungana na waislamu wengine siku ya jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekusikia mahala ukisema kuwa Tanzania imechukuwa Wataalam wa kufanya Master Plan ya Mkoa wa Dodoma kutoka nchini Singapore kwahiyo ndiyo kusema Wataalam wetu wa Chuo cha ARDHI ni bogus au ni...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
Kwa mtazamo wangu Flora kufunga ndoa ya pili yuko sahihi kabisa...hila yuko sahihi kwa mtazamo wake yeye mwenyewe. Ila kwa mtazamo wa wakristu ni kosa kubwa, Flora umetibu mwili tu.. Na mwili...
15 Reactions
178 Replies
31K Views
Nimekaa nimejiuliza kwanini unaweza ukavumilia kukaa na vinyesi vya kuku, bata, ng'ombe, mbuzi, kondoo, au hata nguruwe bila shida yoyote lakini huwezi kuvumilia kukaa na kinyesi cha mbwa, paka na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mzuka Wanajamvi, Kama mnavyojua vita kali inaendelea huko Iraq kuwaondoa wahuni wa ISIS Mosul. Lakini jambo la kufurahisha nimekuja kugundua huu mji wa Mosul ndio hule Yona alitumwa na Mungu...
27 Reactions
203 Replies
28K Views
Jeshi la Polisi mkoani Pwani, linawashikilia watu wawili wakazi wa Kibiti kwa tuhuma za kukutwa na fuvu la kichwa cha binadamu. Alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu! Baada ya kutembelea vivutio vya UTALII kwa wingi vilivyopo Tz,nimeamua kwenda kupanda mlima Himalayas na nataka nifike hadi 7,000meters. Sasa najua watz wengi ni...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Naombeni niulize nina miaka 25 kazini bahati mbaya nilitumia cheti cha mtu wamenigundua ni miongoni mwa list ya watu wenye vyeti feki / kubushi sasa kutakuwa na kiinua mgongo kidogo au ndo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kupata maarifa na stadi za maisha ni jambo endelevu Awamu ya tano ya uongozi wa mheshimiwa imenifunza yafuatayo. #1. Kutosikiliza watu pale unapokuwa na mipango yako #2...Kuwa upande wa...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amedai toka aonyeshe nia yake ya kumuunga mkono Rais John Pombe Magufuli amekuwa akitukanwa pamoja na kutupiwa maneno ya kejeli. Muimbaji huyo...
3 Reactions
50 Replies
6K Views
Nipo natazama ITV mubashara, naona baadhi ya wafanyakazi wanashangilia sana lkn wengne wanaonekana hawana shauku yoyote ila ni kama wamelazimishwa. Naomba mniondoe utata hapa, hivi ni kweli furaha...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna bonge LA foleni ubungo mataa..kuna chuma kikubwa kimedondoka kimefunga njia ya mwendo kasi Naona winch la UDART ndiyo wanapambana kulitoa..watu wamedoda kwenye foleni.
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Jamani Nina rafiki yangu alinitafuta siku mbili tatu hizi alikuwa na shida kama elfu 30 alikuwa na matatizo kidogo ya kifamilia nimsaidie elfu 30. Basi kwa vile mshikaji namfahamu nilienda...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wakuu!! Niko dilema kidogo wakuu juu ya hii ajira iliyopo mbele yangu. Nilikuwa nafanya kazi ktk ofisi moja ya mama wa kihindi ikiwa kama ni kampuni ya familia Nilifanya kwa muda wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Rejea Kichwa cha habari kisha tiririka kama unafahamu. Thanks!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Back
Top Bottom