Kwanza Kuna neno Bahati mbaya, ila hakuna kitendo cha Bahati mbaya ulimwenguni kote. Kila jambo na Kila tukio linasababu au Chanzo.
Tujikite kwenye Chanzo ni nini na sio ilikuwa Bahati mbaya...
Mambo vp wadau,
Naomba kujua njia mpya ya uchimbaji wa shimo la choo, ambao unatumia makaravati, kwa mwenye ujuzi naomba anielimishe, kwan nackia ni wa bei nafuu na wa haraka.
Kwa mwenye ujuzi...
HIVI UNAWEZAJE KUISHI NA "FRIENDS WITH BENEFITS FROM YOU "
friends with benefits hapa nina maana marafiki ambao wanaokutafuta wakati wana shida au wanaotaka kukutumia wakati wana shida lakini...
Hii huduma ya mabasi ya haraka au mwendokasi imekuja kama mkombozi haoa Dar. Hata hivyo kwa baadhi ya njia hawa watu wamekuwa kero.
Mimi huwa naabiri njia ya Kivukoni-Morocco kati ya saa 4-5...
Wasalaam....
Katika jambo ambalo watu walikuwa wanasubiri kujua ni nini chanzo cha ajali ya bus la Lucky Vincent iliyogharimu watu zaidi ya 33.
Haya yamethibitisha na Kamanda wa Arusha ndugu...
Habari zenu wadau,
Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti...
habari wandugu,
Naeleza kwa masikitiko jambo hili kwani limekua hatari kuliko viroba vilivyopigwa marufuku. Pombe hizi zinaitwa Gin ni hatari sana kwa vijana.
Taarifa hizi zinasema pombe hii...
Tanzania has shown world's greatest social media condolences as most of whatsapp groups icon displays candles for the respect of fallen pupils on study trip.
Change all your status photo to a...
Tulio wengi tuliokulia kwenye mafundisho ya kikristo tunajua au tumewahi fundishwa kuhusu amri 10 za Mungu ambazo zina umaarufu Sana ndani na nje ya ukristo.
Shida niliyokutana nayo ukubwani...
Wadau heshima kwenu..tukiwa bado kwenye maombolezo ya watoto wetu kule Arusha..Huku Tanga inagonga mvua ya kiwango cha lami..
Hii mvua ni kubwa sana na kuna baadhi ya maeneo tayari kuna taarifa...
Wadau naomba ushauri wenu mwenzenu nina ndoto ya kumiliki gari yangu kwa ajili ya biashara lkn kikwazo ni mama watoto hataki kuskia kabsaa wasiwasi wake ni kwamba nanunua gari kwa ajili ya Mademu...
Utamaduni wa filamu za ngono umeenea sana nchi za Amerika na Ulaya, vijana wengi wamejiingiza katika biashara hii kwa sababu mbalimbali.
Haijalishi sababu zilizowafanya waingie huko lakini...
Mitandao ya kijamii kama facebook, instagram, badoo nk ni mitandao amabayo imejipatia umaarufu mkubwa sana hasa katika nchi za dunia ya tatu kwa siku za hivi karibuni.Umaarufu wa mitandao hii...
toka saa nne nataka niweke salio nijiunge na kifurushi cha usiku internet vocha haiingii wananiletea ujumbe eti mtandao unatumika kwa sasa.hawa wamezidiwa na mzigo wa wateja tayari na mitambo yao...
Nawapa pole sana waTanzania wenzangu kwa msiba huu mkubwa, pia nimpe pole sana Mh Rais Dr John Pombe Magufuli kwa msiba huu.
Kutokana na dunia ilivyoaribika sasa ivi hatutakiwi kuchukulia kila...
Barabara ya Bagamoyo, toka Mwenge hadi Tegeta ni mpya kabisa.
Lakini imedhihirika kuwa ina matatizo makubwa kutokana na usanifu(Design) isiyokidhi viwango.
Kuna sehemu mbili au tatu ambazo zina...
Kafika kipindi Cha maswali na majibu Bungeni nimemsikia naibu waziri Jafo akijibu swali kuhusu Ujenzi wa standi ya mabasi ya mikoani ktk eneo la Mbezi Luis kuwa Ujenzi huo unagharimu fedha nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.