Hakika sote tumeumia kama taifa, kwa kupoteza wanetu wapendwa!
Poleni ndugu zangu!
Mungu wetu utupe faraja za rohoni zile ambazo hakuna mwanadamu awezae kuzitoa.
Pamoja na haya; Mfalme Suleimani...
Mtoto wa Shule aliyefariki Arusha alinusurika bomu 2013 Mtoto wa Shule aliyefariki Arusha alinusurika bomu 2013
Very Sad,poleni sana wazazi wa watoto wote,watanzania wote na Mwenyezi Mungu awape...
Wasalaam!
Kuna uzi humu ulikuwa unajadili masuala ya Debt/Card.
Mtoa uzi alikuwa akipenda kujua ni huduma za Benki ipi ni nzuri na nyepesi kwenye masuala ya Kadi za manunuzi bidhaa Online...
Ni kipindi cha msiba mkubwa kwa kufiwa na watoto wetu. Nawapa pole wote walioondokewa na watoto wao Mungu awape moyo wa subra na faraja kuu.
Wewe unafikiria nini, je ni Mungu kapenda watu wafe...
Wazazi poleni kwa msiba huu uliowapata watoto wetu wapendwa wa Lucky Vicent na walimu wao! Hakika ni majonzi makubwa sana! Lakini yafaa tutafakari kwa kina kwanini janga kama hili liwafike watoto...
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah
Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio...
Kiharaharaka kila ajali inapotokea tumekuwa wepesi kuwatupia lawama madereva au wamiliki wa vyombo vya usafiri bila kuangalia upande wa pili wa shilingi.
Katika mihangaiko yangu nishakutana na...
Ni dhahiri kabisa jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam imewafumbia macho wavuta bangi na madawa. Katika maeneo mbali mbali ya jiji la Dar kumekua na vijana wengi wakijihusisha na vitendo hivi...
Wakuu heshima kwenu,
Mi ni miongoni mwa madereva waliobahatika kuendesha gari kwenye barabara nyingi za Tanzania na nimejifunza mengi sana ambayo ninauhakika yatatusaidia. Barabara zetu si salama...
Kuna namna nyingi za kuonyesha kuguswa na misiba mikubwa inapotokea. Moja ya njia hizo ni kuwa na siku ya maombolezo kitaifa. Hii haina maana kuwa tupumzike tusiende kazini la hasha bali bendera...
Huyu Jamaa pamoja na kwamba ana kipaji cha kufurahisha watoto kwa hadithi zake ndefu zisizoisha, lakini huyu Jamaa anapiga FIX sana jamani.
Yaani Jamaa ni muongo kupitiliza. Eti sisimizi alikuwa...
Wataalamu Wa saikolojia watanielewa mapema.
Kawaida maisha ya binadamu hususani waafrika, huishi maisha yaliyotawaliwa na unafiki mwingi, Yaani "fake life"
HILI LIPOJE KWA WALEVI?
Hapa namaanisha...
Nashauri Rais wetu mpendwa atangaze siku ambayo ajali hii imetokea tarehe 6 may siku ya kukumbukwa Kila mwaka na pawepo na Mjadala wa kitaifa wa namna ya kuimarisha usalama wa namna ya kusafirisha...
Habarini za jioni wadau wa jf. Polen na msiba mzito uliolikumba taifa letu kwa kupotelewa na vijana wetu takriban 35. Kwa hakika taifa limepoteza nguvu kaz kubwa mno. Baada ya ule msiba nimepita...
Wizara imekanusha stori za wahadhiri waliokutwa na vyeti feki kwenye taasisi za elimu ya juu.
Kuna ujumbe unasambaa wasap,jana nimebahatia kuuona.
UJUMBE UNASEMA::::::::::::
Waziri wa Elimu...
Habari za Jioni wadau?
Naomba tuungane hapa kwa mustakabali wa kuiendeleza JF yetu.
Hapa pamekuwa nyumbani sasa, kila kitu twakipata hapa.. habari za kila namna kwa kweli bila shaka mnajionea...
Mfano cheti changu kimetumiwa na zaidi ya watu 4 na wote tumetajwa je mm mwenye cheti halali naweza wageuka nilio wapa na kuwasingizia kuwa wameniibia
cheti
Je mm nilio wapa au mwenye cheti nitapona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.