Dar half life
Member
- Sep 13, 2016
- 98
- 50
Tulio wengi tuliokulia kwenye mafundisho ya kikristo tunajua au tumewahi fundishwa kuhusu amri 10 za Mungu ambazo zina umaarufu Sana ndani na nje ya ukristo.
Shida niliyokutana nayo ukubwani kwangu ni mpishano Wa amri hizi kutoka dhehebu moja kwenda lingine ambayo ikanifanya nijiulize Kama zipo Holela(random) au kuna umuhimu Wa kuzifuata kuanzia ya kwanza hadi ya Kumi...Mwenye uelewa sahihi Wa amri hizi atujuze tafadhali kwa faida ya wote na umuhimu wake kwetu