Filamu za ngono Tanzania

kifombocheza

Member
Nov 1, 2015
97
28
Utamaduni wa filamu za ngono umeenea sana nchi za Amerika na Ulaya, vijana wengi wamejiingiza katika biashara hii kwa sababu mbalimbali.

Haijalishi sababu zilizowafanya waingie huko lakini kikubwa hupata pesa, tena pesa nyingi tu. Imefikia hatua wacheza filamu wa ngono katika mabara hayo hupewa tuzo mbali mbali kama zilivyo tuzo za wanamuziki ana filamu za kuigiza. Najua wa rika mbalimbali dunia nzima, ikiwemo Tanzania hutizama filamu hizi.

Swali langu ni: Kuna watu wanajishughulisha na uchezaji wa filamu za ngono Tanzania?
 
Naimani wapo ila siwajui..wapo watakuja na majibu mazuri zaidi ya hili...
 
Kama una dada au mdogo wako wa kike Huenda anahusika kwny hii biashara ya video za ngono!

Ila for export only???
 
Back
Top Bottom