Hii ndio noti ya dollar trillioni 100

Royal Warrior

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
1,166
2,143
Habari zenu wadau,

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.

tjj.jpg

update 1:
naona wengi mnataka kujua thamani ya hii pesa. ok ipo hivi.

100 trillion zimbabwean dollar = 0.4 US dollar

na kwa hela ya kwetu ni sawa na tsh 850.

Update 2:

Zimbabwe haitumii tena Zimbabwean Dollar, wameamua ku adopt US dollar (USD) baada ya kuona haiwezi tena ku control hyper-inflation ya pesa yake (ZIM Dollar).
 
Habari zenu wadau,

Wengi ambao hamkuwahi kuiona au kufahamu kama kuna nchi duniani ina noti ya trillioni 100, hii hapa imetoka kule kwa Mugabe (Zimbabwean dollar), ingekua ni US dollar hii noti basi ingekua kubwa kuliko jumla GDP yetu tangia tupate uhuru mpaka sasa hivi.

View attachment 504315
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
 
mkuu hiyo ni zimbabwean dollar, sio US dollar. kama ilivyo kwa tanzanian shilling na kenyan shilling.
 
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
Mkuu, kwani pesa ya Namibia inaitwaje ?
 
Sasa huko Zimbabwe ukitaka kununua jumba au gari la kifahari inabidi ubebe pesa kwenye matruck?
 
Zimbabwe hawawezi kutengeneza dollar na kuitumia wao km wao kwakuwa cyo pesa yao, zimbabwe ina pesa yake..

Km ipo hyo basi ni marekani ndiyo anaweza kuwa na noti hyo maana ndiyo pesa yake, dollar iandikwe zimbabwe hlf hela ya zimbabwe iandikwaje?
Kaka uliza tu kama hujui, Zimbabwe pesa yao inaitwa dollar na Namibia pia pesa yao inatwa dollar, tofauti hapo iko katika kuitamka unatanguliza jina la nchi husika kwanza, mfano ni-
*US Dollar kwa USA
*ZIM Dollar kwa Zimbabwe
*Namibian Dollar kwa Namibia
Na Canadian dollar
 
Hayo ni matokeo ya kupambana na Wazungu bila kujipanga vizuri huku ukiwahadaa Wananchi kuwa wewe ni Mzalendo.
Waafrika sijui kwanin tunawapatikia wazungu.Mugabe angeshirikiana na Africa na Asia asingefika huko .wamerekani na wazungu ni wapuuzi sana wanatakiwa wapewe somo kwani ukigusa maslahi yao watakuwekea viZingiti.mataifa kama China,waarabu na waafrica mnaweza Fanya biashara na wazimbabwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom