Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,764
- 2,347
Barabara ya Bagamoyo, toka Mwenge hadi Tegeta ni mpya kabisa.
Lakini imedhihirika kuwa ina matatizo makubwa kutokana na usanifu(Design) isiyokidhi viwango.
Kuna sehemu mbili au tatu ambazo zina tatixo sugu la maji ya mvua kupita juu ya barabara.
SAMAKI WABICHI~Sehemu hii ina maculvert madogo sana, kila inyeshapo mvua ndogo, maji ya mvua hupita juu ya barabara.
AFRICANA/SALASALA RD~Hapa ndo kabisa ni kama hakuna culvert kupitisha maji ya mvua, hivyo mchanga husombwa barabarani na huwa haipitiki kirahisi.
RAFFIA BAGS/Bonde la Kunduchi Mbuyuni~Hapa maji ya mvua hukusanyika, maculvert ni madogo.
Hali ya mitaro ni mbaya, mitaro inapukutika yale ma slab, tofauti na kulinganisha na ile ya Mandela Rd.
Kiujumla wajapani waliofanya upembuzi yakinifu na usanifu wake (Feasibility Study and Design), walizembea kazi.
Mbaya zaidi mainjinia wa TANROADS Makao makuu nao walizembea kabisa kwa kutopitia usanifu wa kazi yenyewe.
Mbona TANROADS DSM walijenga culvert lenye viwango pale Interchick, mahali palipokuwa na utata mkubwa miaka kadhaa iliyopita?
Idara ya kuhakiki usanifu wa miradi ya wafadhili inawezekana kuna mainjinia wenye vyeti feki, hilo linaathiri uchumi wa nchi.