Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,796
- 5,509
Hii huduma ya mabasi ya haraka au mwendokasi imekuja kama mkombozi haoa Dar. Hata hivyo kwa baadhi ya njia hawa watu wamekuwa kero.
Mimi huwa naabiri njia ya Kivukoni-Morocco kati ya saa 4-5 asubuhi kila siku. Mwanzoni nilikuwa nawaonea huruma UDart kwa njia hii maana mabasi yalikuwa mengi na abiria kuonrkana wachache.
Siku hizi imekuwa ni kero, wamepunguza sana idadi ya mabasi kwa route hii kiasi kwamba tunasubiri badi kwa hadi dk 20, abiria wanakuwa wengi, mabenchi ya kukalia hakuna na kusababisha kero kwa wasafiri.
Leo hali imekuwa mbaya zaidi kwani nimekaa dk 40 kusubiri basi la Kivukoni-Morocco. Mabasi ya njia ya Ubungo na Kimara yanakuja na kuondoka kila baada ya dk 5, sisi tumekaa dk 40. Mbaya zaidi hata namba za simu walizoonyesha vituoni ili tuwapigie, zote haziko hewani.
Tafadhali UDart, boresheni huduma za Kivukoni-Morocco, haiwezekani abiria akae kituoni kwa dk 40 kituoni bila basi kufika kituoni. Kwa sasa tuko Mapipa, humu ndani ni vurugu, watu wanaoenda Morocco ni wengi wote wanataka kuingia kwenye basi hili, na ni ishara kwamva basi la Morocco halijapita muda mrefu.
Vv