Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

inasemekana kumetokea ajali huko mvomelo ukipita bamsi kabla hujafika makunganya kuna eicher imegongwa na lori na hali ya majeruhi ni mbaya....mwenye taarifa zaidi atujuze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama tunavyojengewa BRT DART haya mambo yapo duniani kote..wazungu bwana nashindwa kuelewa niseme nini. Ni ukoloni au ni mbinu mpya ya kuwekeza ama kutufanya sisi tujengewe haya madude..Ona huko...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Nimeipata hii orodha ya watumishi wasiokamilisha taarifa za vyeti nchi nzima.
1 Reactions
31 Replies
10K Views
kwanza kabisa napenda nikupongeze kwa agizo lako la kuagiza ifanyike tathmini kama kuna umuhimubwa kuwa na CDA... Naamini kama hili wangeulizwa wananchi wa dodoma, asilimia 99.99 wangesema CDA...
1 Reactions
1 Replies
846 Views
Jamani hawa waliochukua mkataba wa comedy TBC hapana, mbona ka washamba wamewatoa wapi? au ndio ajira zilizo ahidiwa?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simanzi na majonzi vimeukumba mji wa Arusha na Tanzania kwa ujumla kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya wanafunzi wa darasa la 7 wa shule ya Lucky Vincent. Wanafunzi hawa walikuwa wanakwenda...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limekifunga kiwanda cha U Fresh kilichopo Tegeta, jijini Dar es Salaam baada ya kubainika kutengeza juisi ambazo zipo chini ya viwango vya ubora. Shirika...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Nilipata kusikia wakati flani kuwa mwezi wa pili, tatu na nne hivi pamoja na mwezi wa nane na tisa kila mwaka ni msimu wa ajali za barabarani! Na kiukweli tukijaribu kuangalia hii miezi kunakuwa...
3 Reactions
2 Replies
900 Views
Katika kipindi hiki cha majonzi kwa wafiwa na wale wote walioguswa na ajali, niljaribu kutafakari wale ambao walibahatika kupona. Sio kupona kwa kuwa wamenusurika na ajali, bali kwa kuwa waliachwa...
17 Reactions
26 Replies
2K Views
Aisee watanzania wana Akili sana watu wali edit vyeti vyao na Kutengeneza Vipya kwa index number ileile yaani kama Mtu alipata History-D Civics-C Geography-C Kiswahili-C Biology-F...
16 Reactions
87 Replies
14K Views
Kuna watu wanataka kumuua Lowassa na baadae kusema kuwa Magufuli amemuua Lowassa halafu baadae watamgeukia Magufuli na kumuua na kusema marafiki wa Lowassa wamemuua Magufuli kwa kuwa alimuua...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Baada ya serkali kufanya uhakiki kwa watumishi wa umma na kubaini madudu ya vyeti feki, itapendeza zaidi sekta binafsi nazo zichukue hatua kwa kuanza kufanya uhakiki ili kuwabaini wasiostahili na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejiuliza tu hili swali maana nashindwa kuelewa na kuamini kama manispaa ya dodoma ina watu wa afya . Hii ni kutokana na kuona maini na utumbo ukiuzwa hadhani independence squre kando kando na...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Mi nashauri kipindi tunahuzuni kubwa namna hii ni vizuri tukachukua hata Tunasubiria uchunguzi wa polisi kuhusu chanzo cha ajali hii ya Watoto wetu lakini hata zichukuliwe zaidi katika vyombo...
0 Reactions
3 Replies
802 Views
[emoji12]
2 Reactions
3 Replies
805 Views
Ajali imetokea ruvu shule ya msingi ikihusisha basi la kampuni ya BM karibu na zebra waliofariki ni wapanda baiskeli wawili pia bus limegonga kibao cha zebra na lory lililokua pembeni yani (petrol...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
waku wakati ajali hiyo inatokea nilikua mdogo sana nilikua chekechea,sasa huwa sina kumbukumbu kabisa coz my sister miaka miwili iliyofuata alifaulu kwenda machame girls nikiwa darasa la kwanza hv...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Sina lengo la kudharau imani nyingine wala sio mfuasi wa imani za kikatoliki ila kuzipa changamoto madhehebu zetu mitaani huku ambapo kelele za imani ambazo zina maana sana kwa wahusika ila sisi...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Ni jambo la kushangaza kabisa wahudumu wa mizigo airport Mwanza wanatupa mizigo ya abiria hovyo kwenye coster yao
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom