Huyu mama ni mwenye busara sana, yaani anatoa pole kwa walengwa, sasa yule jamaa yetu anatoa pole kwa Gambo
Mbona huyu mama ametoa salamu moja kwa moja kwa wazazi na Ndugu za marehemuNdio utaratibu. Gambo thereafter anatakiwa kuzipeleka hizo salamu za jamaa yenu kwa walengwa.
Mbona huyu mama ametoa salamu moja kwa moja kwa wazazi na Ndugu za marehemu
Una uhakika? Kila Gambo ni mkuu wa Mkoa wa Arusha?Mkuu wa mkoa wa arusha
nimependa swali lakoUna uhakika? Kila Gambo ni mkuu wa Mkoa wa Arusha?
Kutoa pole kwa Gambo ni suala la kiprotokali tu mkuu na ni kawaida duniani kote. Akiamua kuonana au kuongea na wafiwa hawa atafanya hivyo kwa sababu za kibinadamu lakini kiofisi ni lazima afuate mtiririko wa kimadaraka. Utaratibu huu haujaanza leo...Huyu mama ni mwenye busara sana, yaani anatoa pole kwa walengwa, sasa yule jamaa yetu anatoa pole kwa Gambo
ahaaa nilikua sijuiKupatwa majonzi si lazima utokwe na machozi mama