Ujenzi wa standi ya mabasi ya mikoani kugharimu fedha nyingi!!!

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,666
8,510
Kafika kipindi Cha maswali na majibu Bungeni nimemsikia naibu waziri Jafo akijibu swali kuhusu Ujenzi wa standi ya mabasi ya mikoani ktk eneo la Mbezi Luis kuwa Ujenzi huo unagharimu fedha nyingi sana ndio sababu inayo chelewesha kuanza Ujenzi huo.

Eneo wanalo lazimisha kujengwa standi hiyo pia sio zuri kiufundi hivyo litagharimu fedha nyingi sana! kwa nini lisitafutwe eneo kubwa jingine ktk maeneo ya Mbezi Luguruni au Kibamba? amabapo kuna maeneo makubwa yenye nafasi,ni vyema serikali ikatizama mradi huu kwa miaka 50 hadi 100 inayo, tusiangalie miaka 10 ijayo,
 
Back
Top Bottom