Kuundwe Tume ya kuchunguza ajali ya Arusha.

benteke

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
1,305
1,068
Nawapa pole sana waTanzania wenzangu kwa msiba huu mkubwa, pia nimpe pole sana Mh Rais Dr John Pombe Magufuli kwa msiba huu.
Kutokana na dunia ilivyoaribika sasa ivi hatutakiwi kuchukulia kila ajali ni ajali bila ya kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha.
Naomba vyombo husika vijaribu kuangalia historia ya dereva kwa ujumla.
Terorism iko kila mahali kwa sasa.

Nisameheni sana kwa nitakaowakwaza.

Poleni sana na Mungu aendelee kuilinda Tanzania pamoja na Amani yetu.
 
Back
Top Bottom