toka saa nne nataka niweke salio nijiunge na kifurushi cha usiku internet vocha haiingii wananiletea ujumbe eti mtandao unatumika kwa sasa.hawa wamezidiwa na mzigo wa wateja tayari na mitambo yao haina nguvu,kwasababu ni nani huyo anayetumia mtandao kiasi kwamba wengine tusubiri mpaka amalize?