Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,829
- 43,276
Wasalaam....
Katika jambo ambalo watu walikuwa wanasubiri kujua ni nini chanzo cha ajali ya bus la Lucky Vincent iliyogharimu watu zaidi ya 33.
Haya yamethibitisha na Kamanda wa Arusha ndugu Charles Mkumbo.
Madereva wameendelea kugharimu maisha ya watu kwa uzembe na ujuaji wakiwa barabarani bila kujali wamebeba nini....
Ukweli ni kwamba kwamba madereva wengi wataendelea kuuwa watu kwa namna hii pamoja na kuitwa wana uzoefu.
Dereva anajua fika kuna hali ya mvua na barabarani lakini bado anaendesha kwa mwendo kasi...
Poleni sana wafiwa...
Chanzo: EFM