Dominick mibazi
Senior Member
- Nov 4, 2016
- 177
- 96
Wadau naomba ushauri wenu mwenzenu nina ndoto ya kumiliki gari yangu kwa ajili ya biashara lkn kikwazo ni mama watoto hataki kuskia kabsaa wasiwasi wake ni kwamba nanunua gari kwa ajili ya Mademu ushauri wenu nitaufanyia kazi