Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF hivi hii mvua kubwa inayonyesha huku South Beach Dar inanyesha Dar nzima? Mlioko barabarani naomba mtujulishe hali ya barabara maanake mji huu na mvua haviendani.
7 Reactions
207 Replies
17K Views
Jamani nataka kujiunga na paypal lakini inaniletea street adress sijui hapo nifanyeje na postal code wakati sina sijui tunapaswa kujaza nini.
1 Reactions
38 Replies
12K Views
Ndugu wanabodi mie ni miongoni mwa waathirika wa watumishi ambao vyeti vyao vinatumika zaidi ya sehemu moja. Jana nilikuwa baraza la mitihani tanzania nilifika saa 12:00 asubuhi nikiamini...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Meneja-Leaders-Club-apandishwa-kizimbani/1597578-3914090-view-printVersion-2vgddw/index.html Very serious charges, bail was set at 5,000,000/=. Mtuhumiwa...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Napenda kuwapongeza kwa uzalendo wenu wakuahirisha vipindi ili muwe pamoja na familia na watanzania walioondokewa na watoto wao wapendwa, kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenu. UTU ni bora kuliko...
15 Reactions
115 Replies
14K Views
Ndugu wana jf, katika zoezi linaloendelea la ukaguzi wa vyeti vya sekondari wapo watumishi ambao waliishia elimu ya msingi,katika fani mbalimbali- ualimu, udaktari, uhasibu, uboharia nk wenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Swala la vyeti feki wala wale wafanyakazi wasifukuzwe ni kuwaonea hawa waliowaingiza kazini, kama meneja waajiri walishindwa kusimamia majukumu yao ndio wa kuwafukuza na kufungwa kabisa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki jana Mamlaka ya hali ya hewa walionya juu ya uwepo wa mvua kubwa katika Ukanda wa pwani. Kama kawaida watu walibeza hii ni kutokana na tabiri zao kwenda kinyume. Sasa awamu hii naona...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Kumekuwa na kero kubwa ya watumiaji wa barabara inayopita external kupitia jeshini kuelekea tabata kimanga hapa kati kati kuna kipande hakina rami na barabara haijachongwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Eti demu gharama zake kula na malazi kama Kama "Faru Faustin"! Kweli wanaume tumefika kuwaona wakina mama kama gharama kweli?! Awe girlfriend, mke au hata hawara, sisi wanaume hatustahili hata...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Katika list ya watumishi wasio na vyeti I mean walioandikiwa incomplete yumo jamaa yangu,ni mwalimu wa shule ya msingi ila ndo hivo alipita njia za shortcut kusoma ualimu hadi akapata...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Serikali wilaya Momba mkoani Songwe yatangaza kuwepo kwa njaa na kuwataka wakulima wasiuze chakula maana hali ni mbaya. Huyu Mkuu wa wilaya hivi sio mchochezi? Waziri wa chakula alishakataa...
1 Reactions
2 Replies
672 Views
Kama mnavyokumbuka Mtumishi wa Mungu TB Joshua alitua nchini mwishoni mwa mwaka 2015, na kulakiwa kwa bashasha sana. Ni maombi yetu tena kwake atuweke kwenye maombi yake kama Taifa ili tuzidi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama una ndugu au wewe mwenyewe umehitimu chuo na ukafaulu vizuri,uko tayari kufanya kazi mkoa wowote kulingana na taaluma yako/yake,kwa mshahara wa laki 7 kwa mwezi, nakupa hi![emoji12]
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Kiburi ndio anguko hasa la mwanadamu Katika historia. Waswahili husema "mateso yakizidi neema imekaribia". Kwa hali iliyopo sasa kwa watanzania ni ngumu na mbaya. Maombi yangu hali hii na...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Watu watano Wa familia moja wilayani Arumeru wamefariki dunia usiku WA kuamkia Leo baada ya nyumba walimokuwemo kufunikwa na udongo pamoja na mti mkubwa uliong'oka toka mlima Lekimana kutokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba niseme tu! Ibada ni jambo jema sana na sina nia ya kupinga, lakini kinachokera watu wengi ni ile kutozingatia mda uliopangwa; Viongozi msitumie udhaifu Wa unyenyekevu Wa waumini kufanya...
31 Reactions
99 Replies
10K Views
Habari Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea. nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa...
10 Reactions
51 Replies
8K Views
Bei hii ya hisa ilifikiwa baada ya wakurugenzi wa Vodacom kuafikiana pamoja na mshauri mkuu kwa kuangalia baadhi ya mambo kadhaa mfano; •Muonekano na Mwelekeo wa uchumi wa Tanzania. •Utendaji wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom