amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,650
- 3,811
habari wandugu,
Naeleza kwa masikitiko jambo hili kwani limekua hatari kuliko viroba vilivyopigwa marufuku. Pombe hizi zinaitwa Gin ni hatari sana kwa vijana.
Taarifa hizi zinasema pombe hii inapitia mpaka wa Malawi na Tanzania. serikali chukueni hatua za haraka kwani vijana wanaangamia.