Hii Mvua Ya Tanga Kiboko

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,224
17,080
Wadau heshima kwenu..tukiwa bado kwenye maombolezo ya watoto wetu kule Arusha..Huku Tanga inagonga mvua ya kiwango cha lami..
Hii mvua ni kubwa sana na kuna baadhi ya maeneo tayari kuna taarifa za maafa...yaani. hakutokeki..
 
Back
Top Bottom