Uchimbaji wa choo la shimo la kisasa,

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
108
Mambo vp wadau,
Naomba kujua njia mpya ya uchimbaji wa shimo la choo, ambao unatumia makaravati, kwa mwenye ujuzi naomba anielimishe, kwan nackia ni wa bei nafuu na wa haraka.
Kwa mwenye ujuzi naomba ufahamu.
 
Nitaipenda hii nadhani kitakuwa kirefu kwa kuwa karavati ni jembamba..

Nitarudikusoma maujuzi..Hivi mvua kama hujajiongeza chamber inazama..ole izame na mtu
 
halafu mtu anawaza kuifungia JF! Wakati watanzania tunapata vitu vya kuturahisishia Kupata maendeleo. JF daima.
 
Mwenye akili hizi namuombeas sana kwa mungu, Hapa hakuna feki yyt. Mkuu turahisishie hii mambo
 
Back
Top Bottom