Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,682
HIVI UNAWEZAJE KUISHI NA "FRIENDS WITH BENEFITS FROM YOU "
friends with benefits hapa nina maana marafiki ambao wanaokutafuta wakati wana shida au wanaotaka kukutumia wakati wana shida lakini shida zao zikishamalizika hutowasikia tena wala kupokea simu zako ukija kukutana nao ukiwauliza mbona hatutafutani au aupokei simu zangu wanasema wako bize na maisha yaani hapa nina hapa hawaoni umuhimu wa kukutafuta mpaka wawe na shida zao binafsi ila wewe ukiwatafuta kama una shida au jambo lako ni wanajifanya wako bize hivyo hata huo muda kuonana na wewe hawana.......
lakini yeye akiwa na jambo lake kwa mfano vile harusi au sherehe basi atakupigia simu atakusumbua na mimeseji mara ana shida ya kuonana wewe ili mradi umsaidie shida yake au
mwingine akiwa amefulia atakusumbua umsaidie hata kiasi chochote kile ulinachoo au ana issue amezunguka ukoo kote kashidwa anaanza kukusumbua wewe umfanyie mpango mara akutafute muonane .
kwa kifupi ni mtu anayetaka kukutumia kwa ajili ya shida zake tuu................
je marafiki kama hawa unaweza kuishi nao vipi "friends with benefits"