Nipongezeni mimi niliyefanya haya msibani Arusha

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Mwenzenu nilishiriki huzuni ya Arusha-ya vifo vya wanafunzi,walimu na dereva wa Lucky Vicent. Nilishiriki kwa hali na mali. Nimeukwepa mtego wa kulilia na kulalamikia rambirambi zilizowashwa kama utambi

Hima,nikaenda Arusha. Hata kabla ya wakusanya rambirambi hawajaenda. Chap chap,nikabainisha familia husika ambazo nyingi ni jirani zangu kule Kwa 'Mromboo'. Kule,karibu kabisa na shule husika,nina kamji kangu kwa maisha yangu.

Chapchap,nikawatembelea wafiwa,kuwapa pole na kuwasihi wasonge mbele. Nikawapa maneno ya faraja na chochote kilichokuwa cha haja. Sikuweka maspika na vipaza sauti kuwahudumia. Rafiki yangu mwanabodaboda akanifikisha kila panapohusika. Nikashiriki hata kuzika

Uwanjani Sheikh Amri Abeid wakati rambirambi zikikusanywa kwa 'mbwembwe',nilikuwa nawachora tu. Kwa umri wangu najua kuwa fedha haina urafiki hata wa kinafiki. Fedha huzaa fedheha. Rambirambi hazilalamikiwi. Lakini pia,hazichezewi. Hazitapita kimya!

Nilishtuka,nikachukua hatua. Nipongezeni.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Mzee ukovizuri
 
Hongera mzee VUTA-NKUVUTE
 
Rambirambi zilianza kuliwa lini?

Huku jukwaani kuna wakati kuliaanza mjadala wa kujua kama rambi rambi USA zilizotolewa zilifika Salama iringa je mada ilihitimishwaje ikaja kagera nikachukulia utani Arusha ndio nasikia rambirambi zimefinywa hebu wahusika waweke kumbukumbu sawa tusije amini tinayosikia
 
Tusiwalaumu wala Rambirambi, Tunapaswa kumlaumu mganga aliowapa sharti la kula rambirambi.

Kuna Mzee mmoja kijijini kwetu kule Call me J, yeye alikuwa aendi kwenye mazishi ya wajukuu zake, ila wakishazika tu utamwona katinga eneo la tukio na kupanga matumizi ya rambirambi.

Wafia dini walipoamua kupiga goti kwa Mungu wao, maombi yalijibiwa na hamadi Mzee yule alirauka na kuanza kusema yote aliyokwisha kuyafanya gizani.

Rambirambi sio pesa za Rada wala za kununulia ndege. Hii lazima itajibu tu
 
Bastola ya Nini jamani??

-Kibwagizo hicho kimechekesha sana!
 
Mwenzenu nilishiriki huzuni ya Arusha-ya vifo vya wanafunzi,walimu na dereva wa Lucky Vicent. Nilishiriki kwa hali na mali. Nimeukwepa mtego wa kulilia na kulalamikia rambirambi zilizowashwa kama utambi

Hima,nikaenda Arusha. Hata kabla ya wakusanya rambirambi hawajaenda. Chap chap,nikabainisha familia husika ambazo nyingi ni jirani zangu kule Kwa 'Mromboo'. Kule,karibu kabisa na shule husika,nina kamji kangu kwa maisha yangu.

Chapchap,nikawatembelea wafiwa,kuwapa pole na kuwasihi wasonge mbele. Nikawapa maneno ya faraja na chochote kilichokuwa cha haja. Sikuweka maspika na vipaza sauti kuwahudumia. Rafiki yangu mwanabodaboda akanifikisha kila panapohusika. Nikashiriki hata kuzika

Uwanjani Sheikh Amri Abeid wakati rambirambi zikikusanywa kwa 'mbwembwe',nilikuwa nawachora tu. Kwa umri wangu najua kuwa fedha haina urafiki hata wa kinafiki. Fedha huzaa fedheha. Rambirambi hazilalamikiwi. Lakini pia,hazichezewi. Hazitapita kimya!

Nilishtuka,nikachukua hatua. Nipongezeni.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Yale yale kiki kwa kutumia misiba.Upongezwe wakati watu wana majonzi??mbona hamna utu nyie watu
 
Wazee wa kula rambi rambi. Hii lazima iwatokee puani.
Siku hizi rambi rambi imekuwa mtaji wa ccm
 
Back
Top Bottom