Kijiji cha Sangu wilaya ya Kwimba chavamiwa na fisi

Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,149
6,544
Kuna habari kutoka kijiji cha Sangu kule wilaya ya Kwimba, wakisema fisi wavamia kijiji na kula au kuua watoto, mlioko huko au karibu, tunaombwa kujuzwa.
 
Tatizo ni kwamba yawezekana wakawa fisi kweli wa porini au ni mambo ya "utamaduni"
 
Mmhh mungu awalinde watoto wa huko nlisikia fisi anaogopa mtu mrefu so hawezi kumdhuru mtu mzima labda mtoto
 
Mmhh mungu awalinde watoto wa huko nlisikia fisi anaogopa mtu mrefu so hawezi kumdhuru mtu mzima labda mtoto
 
Back
Top Bottom