Mohamed omar amin
New Member
- May 3, 2017
- 1
- 0
Boss mkuu bw.rajan rupin anatukana wafanyakazi,na wanaachishwa bila sababu kila mwaka boss anakaa na mbwa ofisi moja hajali maadili ya dini hata kama yanakataza kua na mbwa na ukiajiriwa ktk ofisi yake moja ya kazi yako ni kumhudumia mbwa unataka hutaki wizara ya kazi na wadau fatilieni huu unyanyasaji wa huyu muhindi