Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,721
Naombeni mwenye namba za magari ya magazeti kuna document muhimu sana jamani nataka ifike Arusha kesho.
Asanteni
Asanteni
njoo inboxningesema nataka mchumba mngeshakuja fasta
Ha ha ha ha au nenda gazeti la mtanzania pale sinza
wanaondoka mida gani mkuu?Sasa kama hatuna namba tuje tu.. nenda pale mwananchi sio mbali na hapo ulipo mkuu.
Hebu jaribu tuone...ningesema nataka mchumba mngeshakuja fasta
asante sana wanapita mida gani pale mkuuKama unataka kusafirisha hyo parcel nenda pale Ubungo Kibo kituo kabla ya Kimara Kona madereva wa magari ya magazeti wana kituo chao rasmi pale cha kubeba abiria na mizigo
Saa tano usikuwanaondoka mida gani mkuu?
naombeni mwenye namba za magari ya magazeti kuna document muhimu sana jamani nataka ifike arusha kesho
asanteni
asante sana huna namba kabisa mkuuSaa tano usiku
Sina.asante sana huna namba kabisa mkuu
Huku dar wanatoka saa 4uckuwanaondoka mida gani mkuu?
Around Saa 5-6 usiku Sharp uwepo pale huwa Yanakuwepo Kadhaa, Pale kimekuwa kama ndio kituo chao wanachopakilia abiria.asante sana wanapita mida gani pale mkuu