Nautafuta huu Wimbo...ebu nisaidie kama unao

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Habari zenu bana/
poleni kwa majukumu ya hapa na pale/ mi naomba anaeujua wimbo wenye hizi phrase anijuze tafadhali aniambie ni nani kaimba pia
"gonjwa hili limezua kizaazaa mzozo gumzo gumzo walimu na wanafunzi gonjwa hili lapita kazeze ni kazeze x2 gumzo ....stori hii inamuhusu kibiisa mtoto wa mzee idrisa mwaka 99 ..alipokanyaga pekupeku misumari..yenye sumu ndugu..donda sugu..etc etc"
please nisaidie kama unaujua au hata unamjua artist afu niutafute youtube...kama unao ni PM nikupe e-mail yangu unitumie..afu ntakutoa ela ya soda m-pesa. ahhahahha niko serious...nataka kuskia ile stori tena..jamaa alizikwa na raba raba mtoni,na shati la kitenge lenye mabaka ya kengee.. ahhaha
 
Huo wimbo unaitwa KAZEZE kama kilivyo kiitikio chake na huyo jamaa aliyeimba hiyo track anaitwa OCG. Wimbo huo uli hits sana ktk kipindi chake.
 
And thread is closed. uje kutoa ushuhuda hapa kama umerushiwa huo umatemate kwa m pesa
 
ahahaha hajanitumia mkuu mi nimesema akinitumia...Thanks nyanidume....nimeupata kwenye eastafricantube.com
 
Ahahahaha jamaa alikua na Kibito....tiiiiinted ahahha
 
ahahaha hajanitumia mkuu mi nimesema akinitumia...Thanks nyanidume....nimeupata kwenye eastafricantube.com
oyah man nautafuta sana huo wimbo pia ila nimeukosa, naomba unitumie MKUU KAMA VIPI HAPA 0759 058506 whatsapp
 
Ilikuwa ni saa kumi na mbili kasolo robo sheikh mbwana alikuwa yupo msikitini na baadhi ya waumin anaadhi alla akbarx2 akiwa anamaanisha Mungu mkubwaa....
OCG KAZEZE NNAO MKUU ILA JE HUJATUMWA KUPELELEZA.?! NSIJE TEKWA
 
Huo wimbo ninao sasa hapa nilipo unahitaji internet ya Wi-Fi, .nipe mda kidogo to.... Lakini huo wimbo unaitwa RAFIKI YANGU.... umepigwa na OCG
 
Kukururu kakala......hiv huuu kuna mtu anao kweli????
 
ahahaha hajanitumia mkuu mi nimesema akinitumia...Thanks nyanidume....nimeupata kwenye eastafricantube.com
ahahaha hajanitumia mkuu mi nimesema akinitumia...Thanks nyanidume....nimeupata kwenye eastafricantube.com
Ilikuwa ni saa kumi na mbili kasolo robo sheikh mbwana alikuwa yupo msikitini na baadhi ya waumin anaadhi alla akbarx2 akiwa anamaanisha Mungu mkubwaa....
OCG KAZEZE NNAO MKUU ILA JE HUJATUMWA KUPELELEZA.?! NSIJE TEKWA
oya hamna aseeh nisaidie tu ntumie basi hata hapa tu hassanrichie@gmail.com au 0759 058 506
 
Back
Top Bottom