kingmpk
Member
- Aug 13, 2015
- 92
- 43
Mr president na viongozi wengine. Naomba muangalie swala zima la mwendokasi. Kama imeshindikana kuwahudumia wananchi basi daladala zirudi.
Cause leo kuanzia saa kumi na mbili gari zinazingua, zinapita tu hata zikibeba abiria zote zinaandika express. Vipi me mtu ninayeshuka njiani?
Mwendokasi ushakua mcharo.
Cause leo kuanzia saa kumi na mbili gari zinazingua, zinapita tu hata zikibeba abiria zote zinaandika express. Vipi me mtu ninayeshuka njiani?
Mwendokasi ushakua mcharo.