Kumbukumbu baadhi zinatutesa sana katika maendeleo kiafya na kimwili!!

NajuaKusoma

Member
May 8, 2017
81
60
Mengi hasa katika kukumbuka hua ule umri wetu wa utoto na kuna mengine unatamani kuyasahau lakini waapi!!

Leo nataja baadhi ya mambo natamani niyasahau ila nashindwa na sometimes hua najiuliza kama na wahusika pia wanakumbuka!?

Utotoni niliwahi kuwaGEGEDA Dada zangu wawili miaka hyo cjaanza hata Nursery na hii nshashindwa kuifuta kichwani!!

Tuliopitia KUOGA mitoni mnajua maana ya kubebezana na hii imenistua kweli nilipopita ktk shule flan mkoani kukagua maendeleo nikaikuta Kesi ya Madogo( darasa LA 6) wawili wa kiume walikua wanatumia Kondom wakijipa zamu za kugeukiana kisogoni;;:"*#&$@@\ daah cjui wakikuaa afu wanakutaana!!!!! Mmmhh KUMBUKUMBU HIZO!!!

Najua hata ww unazo KUMBUKUMBU mbaaya saana ila Mara nyingi nikiandika hua MIND inakua clean kama NAUTUA MZIGO VILE!!!

JE UNATESWA NA KUMBUKUMBU GANI HASA ZA WATOTO AU UTOTONI AMBAZO HAZIFUTIKI KICHWANI!!???
 
Asee, kumbukumbu ya kukutana Uso na Uso na Simba. Nimeshindwa kuitoa kichwani kabisa.

Ngoja nitaandika uzi.
 
Asee, kumbukumbu ya kukutana Uso na Uso na Simba. Nimeshindwa kuitoa kichwani kabisa.

Ngoja nitaandika uzi.

Compact una vituko!!! Simba jamani!!! Ebu anzisha huo uzi mapema watu tujetucheke.
 
Asee, kumbukumbu ya kukutana Uso na Uso na Simba. Nimeshindwa kuitoa kichwani kabisa.

Ngoja nitaandika uzi.
Uso kwa USO na Leo bado upo!? Au ndo ile swala akiringa porini ujue bwanaake simba!! haahaah utaan bhaana
9d9d0ed7809850b43b324ba94cf8edd3.jpg
 
Mkuu nakuelewa kabisa... Kumbukumbu kama hizo ni za kutamani kuzifutiliambali...
Mimi nna kumbukumbu za kihivyo ila ata JF siwezi andika kwa jinsi nnavyoichukia.
 
Mkuu nakuelewa kabisa... Kumbukumbu kama hizo ni za kutamani kuzifutiliambali...
Mimi nna kumbukumbu za kihivyo ila ata JF siwezi andika kwa jinsi nnavyoichukia.
Hv shule ya msingi uliisoma hadithi ya MFALME MWENYE MASIKIO YA PUNDA,, lazma ujifunze kukisema au kukiandika kitu public ili aidha usahau au ulione la kawaiidah!!
 
makuzi mengi ya utotoni yanategemea sana nguvu ya Mungu,hasa nakumbuka kipindi hicho mwanzoni mwa miaka ya 90,nikiwa mdogo around 6 to 7 years niko kwenye mkoa ambao maambukizi ya ukimwi kipindi hicho ni hali ya juu,mimi napita huku na huko kutafuta vitu vya kuchezea tuliokulia uswazi tunajua.nikawa napita nyuma ya nyumba za kulala wageni nakuta mipira iliotumika imetupwa njee ya dirisha nachezea naangalia hii kitu iliomo ndani nini.aisee nilikuwa kwenye risk ya hatari ila nashukuru MUngu alinilinda sana nipo salama
 
Back
Top Bottom