Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,421
Mara kadhaa napopita kwa mawakala wa hii huduma huku kitaani kwangu, unakuta wakala anakuambia hana flot mara flot ndogo na visababu vingine kibao, mwisho wa siku hupati huduma.
Sasa nimekuwa najiuliza kuna tatizo gani kati ya hawa mawakala na CRDB au mawakala wanawapa kidogo au kuna nini hasa wateja tunapata usumbufu hivi? CRDB mlishughulikie hili wateja tunasumbuka sana.