Watoto walionusurika kwenye ajali ya basi la shule wamefika U.S.A

Nanihii

Member
Nov 29, 2012
11
9
Three Child Survivors from Tanzania Bus Crash Arrive in U.S.
IMG_2082JimsPlanePicTanzaniaBusCrashDC8SamaritansPurse-400x240.jpg

THE PLANE CARRYING THE THREE CHILDREN AND THEIR MOTHERS ARRIVED IN CHARLOTTE LATE ON MOTHER’S DAY.
 
Nikiwa primary mwalimu wangu wa kiswahili aliniambia mtu mwenye mkono mrefu maana yake ni mwizi "sas kuna wakati hua nashiindwa kuelewa hawa viongozi wa serikali wanasema.. Msicheze na serikali maana serikali ina mkono mrefu
Yani hapo ndo nashindwaga kuwaelewa ndugu watanzania

Wezi wa Rambirambi
 
nimesoma hio habari, kumbe hao watoto watatu waligundulika na hao manesi watatu kua wako hai, hao manesi watatu Kwa kua wana uzoefu mkubwa waligundua kua hao watoto mapigo ya moyo yalikua yanafanya kaz, wakati huo tiyari hao majeruhi walikua wamechanganywa na maiti wakisubiriwa kupelekwa monchwari, mungu mkubwa la sivyo hao watoto wangefia monchwari maskini, kweli mzungu ni mzungu tu
 
Mkwe umeunganisha dots umeweza
 
OMG!
 
Manesi wa kizungu, au hawa wakwetu?
 
Kimakonde tunasema baada YA Mungu ni mzungu
 
nimesoma hio habari, kumbe hao watoto watatu waligundulika na hao manesi watatu kua wako hai, hao manesi watatu Kwa kua wana uzoefu mkubwa waligundua kua hao watoto mapigo ya moyo yalikua yanafanya kaz, wakati huo tiyari hao majeruhi walikua wamechanganywa na maiti wakisubiriwa kupelekwa monchwari, mungu mkubwa la sivyo hao watoto wangefia monchwari maskini, kweli mzungu ni mzungu tu
Manesi watatu, wakagundua watoto watatu walio hai wamechanganywa na maiti wakisubiri kupelekwa mochwari,mbona hujui kudanganya wew?
 
nimesoma hio habari, kumbe hao watoto watatu waligundulika na hao manesi watatu kua wako hai, hao manesi watatu Kwa kua wana uzoefu mkubwa waligundua kua hao watoto mapigo ya moyo yalikua yanafanya kaz, wakati huo tiyari hao majeruhi walikua wamechanganywa na maiti wakisubiriwa kupelekwa monchwari, mungu mkubwa la sivyo hao watoto wangefia monchwari maskini, kweli mzungu ni mzungu tu
Hivi hujui waafrika wengi hua wanazikwa wakiwa hai? Au wengi hufia mochware kwakukosa hewa na chakula?
 
nimesoma hio habari, kumbe hao watoto watatu waligundulika na hao manesi watatu kua wako hai, hao manesi watatu Kwa kua wana uzoefu mkubwa waligundua kua hao watoto mapigo ya moyo yalikua yanafanya kaz, wakati huo tiyari hao majeruhi walikua wamechanganywa na maiti wakisubiriwa kupelekwa monchwari, mungu mkubwa la sivyo hao watoto wangefia monchwari maskini, kweli mzungu ni mzungu tu
Tumsifu Yesu kristo
 
Back
Top Bottom