Habari zenu,
Zoezi la kuyafuta yale majambazi ya vyeti, yaliyoshindwa kujiongeza limeendelea vizuri na pia mafanikio ni makubwa; Safi sana yatupishe tu. Baada ya kumaliza hili Serikali sasa...
Hi wana JF,
Imekuwa ni kawaida sasa hawa wahudumu wetu wa mabasi ya mjini (Town Buses) dala dala, vifodi chai maharage nk. tangu umeanzishwa huu utaratibu wa kuvaa uniform wamekuwa wachafu zaidi...
Anaandika Mbunge wa Singida Mhe Lazaro Nyalandu,
Nikiwa na Dkt. Urio, Mkuu wa Hospitali ya Mt Meru, na mtoto Doreen Mshana tulipomtembelea alasiri leo kumwona yeye pamoja na watoto wenzake...
Naomba kujulishwa miwani anayovaa Rc wa Mbeya ndugu Amos Makalla ni ya nini? Maana imekaa kimauzo na yeye anapendelea kuvaa muda wote, wataalam wa miwani karibuni.
Angalizo:
Kama huna cha...
Ipi thread bora kwako , thread unayopendelea kuipitia kila wakati.
Shiriki nasi kwa kutuwekea link ya thread unayodhani kwako ni bora kwa wakati wote,ili nasi tupate fursa ya kuisoma kama...
Hivi ni nani anaeijua mipango ya Mungu?
Kwa wanaojua kulinda usalama wao uzima na ubora wa magari hufanyiwa ukaguzi angalau kwa mwaka mara moja.
Sisi tunasubiri trafiki barabarani wakamate...
Wakuu,
Kwanza nitoe pole zangu kwa ndugu jamaa na marafiki wa wanaouliwa kwa kupigwa risasi huko Kibiki na Rujifi na kwa Tanzania na ujumla wake.
Pia nitoe pongezi kwa serkiali na jeshi la...
Wengi hawawezi kuongea kiswahili mfululizo bila kuchanganya na Kiingereza.
Na wengi zaid hawawezi kuongea Kiingereza kwa mfululizo bila kukwama njiani na wakati mwingine wanachanganya na Kiswahili...
Kiukweli sikuwahi kuona ndege hizi zilizonunuliwa apa juzijuzi
Jana ndo siku ya kwanza kuiona ikiwa inatua, its nyc looking na ata muonekano wake hunaonekana mkubwa tofaut na pichani
Ndege hizi ni...
"..why do you look so, look so, look so sad, Look so sad and forsaken?
Don't you know, when one door is closed, when one door is closed
Many more is open?.."Bob Marley - Coming In From The Cold...
Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pichani akitoa mkono wa pole jana kwa wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki kwenye msiba wa aliyekuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu...
Mkuu wa mkoa Arusha amekuwa anafanya siasa za kupoteza muda kwa kisingizio cha kusikiliza kero za wananchi lakini hakuna chochote kilicho fanyika. alikuja soko kuu tukampa kero zetu hakuna hata...
Mimi ni Mwananchi wa kawaida na ninaishi mtaani ambako wananchi wa kawaida wanaishi. Ukisikiliza Wafanyakazi wa Umma mambo wanyazungumza ni kuilaumu Serikali. Mfano Bajeti imepangwa fedha haifiki...
Tukiwa tunaadhimisha kilele cha siku ya mama duniani, hapa kwetu Tanzania kuna mambo hatuna budi kuwapongeza wanawake lakini vilevile kuna changamoto kwa wanawake pia.
Siku hii nairudisha nyuma...
kulu brushes off Lowassa’s criticism against Magufuli
thecitizen.co.tz
May 14, 2017 9:26 AM
[Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH]
Dar es Salaam. The State House brushed off...
taarifa hii ya msiba wa rafiki yangu nimeifuta kwa sababu maalumu.
samahani kwa niliowakwaza na nashkuru kwa wote mlionipa pole,
Mungu Awabariki Ndugu zangu.
Ajali ya basi dogo la Wanafunzi Karatu Arusha iliua 32 weekend iliyopita na kuacha Majeruhi watatu ambao wamekua wakitibiwa kwenye Hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru.
Mbunge wa Singida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.