Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kulu brushes off Lowassa’s criticism against Magufuli thecitizen.co.tz May 14, 2017 9:26 AM [Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH] Dar es Salaam. The State House brushed off...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
taarifa hii ya msiba wa rafiki yangu nimeifuta kwa sababu maalumu. samahani kwa niliowakwaza na nashkuru kwa wote mlionipa pole, Mungu Awabariki Ndugu zangu.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Ajali ya basi dogo la Wanafunzi Karatu Arusha iliua 32 weekend iliyopita na kuacha Majeruhi watatu ambao wamekua wakitibiwa kwenye Hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru. Mbunge wa Singida...
31 Reactions
205 Replies
25K Views
Majeruhi wa ajali ya basi, Karatu wakiwa wanaombewa katika uwanja wa ndege wa KIA tayari kuanza safari ya kuelekea Marekani kwa matibabu. ========UPDATES Safari ya kwenda Marekani kwa matibabu...
11 Reactions
105 Replies
16K Views
Mshikaji kajenga nyumba kwenye mkondo wa maji sasa nyumba inaisha kidogokidogo yani ana stress kuliko mtu mwenye ngoma kiukweli nimeshindwa kumpa ata pole maana wakati ananunua kiwanja wadau...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Nilimsikia Mh. Lukuvi akisema kwamba viwanja ambavyo havijapimwa na nyumba zilizopo sehemua mbayo haijapimwa vyote vinatakiwa kulipiwa kodi. Unachotakiwa kama unamiliki nyumba (au kiwanja) hapa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yap asilimia 80 ya wanawake wanaotumia JF ni wasomi yani wana elimu at least certificate, kwa wanawake wenye akili kama bongo muvi au gigy money uwezi wakuta humu.
43 Reactions
204 Replies
15K Views
Nimeona Itv wakitaarifu kuwa serikali itawekeza zaidi ya sh.biliioni 1 kwenye kiwanda cha kilimanjaro machine tools kilichopo nje kidogo ya mji wa moshi cha kutengeneza vipuri vya mashine ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wadau habarini za sa hizi and Happy Mother's Day, Wadau naomba kuuliza na mwenye kujua anielimishe na kunifungua kidogo Hivi tunavyosema mama tuna maana gani? Je ni binadamu yeyote wa...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Yule Mzee Mkongwe na Gwiji la siasa l za Tanzania Mzee Sozigwa amefariki Dunia. Sozigwa alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto wa Mzee Sozigwa, Mchungaji Moses...
6 Reactions
152 Replies
28K Views
Sheria za Askari wa usalama barabarani ziangaliwe upya ili kuondoa malalamiko ya Madereva kunyanyaswa na Askari.Leo katika taarifa ya habari ITV tumeona madereva kusitisha huduma za usafirishaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hbari wana JF Watumishi wa umma ndio habari kuu kwenye kila kona ya nchi hii...hata nje ya nchi watumishi hutajwa hasa pale Mzee magu anapowanyoosha. Naomba uzi huu uwe maalumu ili kila kitu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe!!! Habarini za majukumu ya kujenga Taifa?? Naomba kujua kwny kila MADA utakuta kunakua na picha,,,either inayofanana na Mada husika au la. Sasa je nani huwa anaziweka ni Mtoa...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Salamu. Napenda kufahamishwa receiver ipi ni nzuri kwa ulimwengu wa FTA? Yaani inayoonesha picha vizuri
0 Reactions
2 Replies
3K Views
5 Januari 2017 Utamaduni wa kutoa majina Afrika: Njia tisa za kumpatia jina mtoto wako Majina yanayotokana na utamaduni wa Kiafrika hushirikisha hadithi fulani. Kutoka siku mtoto anapozaliwa...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
wakuu kiukweli nimekaa leo na kufikiria madeni nayodai na kujumlisha inafikia kama mil 1 na chenchi ndogondogo watu ninao wadai hawakatai kunipa ila wanasema nakutafutia wengine naheshimiana...
0 Reactions
57 Replies
19K Views
(Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply) Habari zenu wakuu wa jamvi ni matumaini yangu kuwa wengi kama sio nyote ni wazima kwa nguvu za...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria na Mali.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
uhakiki wa umri kwa watumishi wa umma ni jambo ĺa muhimu na kamwe lisipuuzwe!! naamini kuwa mhe. Rais JPM hakutamka jambo hilo kwa bahati mbaya, ni wazi kabisa kuna tatizo/ matatizo kama...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Imekaaje hii wana JF, Wengine wanasema watatolewa wote lakini sio wao, fikria kuna watu kibao walopoteza kazi na wengine sasa hivi wamechanganyikiwa basi kama kuwasamehe angewasamehe wote...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom