malikafif84
Member
- Feb 6, 2013
- 39
- 31
Nyumba za Ibada Kibiti zinahitaji kusimama kwa pamoja kwenye Toba kwa ajili ya Mauaji yanayoendelea eneo hilo, Mungu awape Imani.
Ni hao hao wakazi wa huko na wanajuana ila hawatajani acha wauaneHiv bila kuficha tuambizane tu ukwel, kule pwani wanao fanya hayo mauaji kila kukicha ni akina nani na wanafanya hivyo kwa lengo gani?
Cha msingi tungeanza kujua chanzo, ambacho inasemekana ni Polisi wenyewe walishusha kichapo kikali sana kwa Wananchi wa pande zile, na hao Polisi walipewa ushirikiano na Wenyekiti wa Serikali za Mtaa, na ndipo Mauaji yalipoanza ni kama visasi sasa hivi imekuwa hivyo.Hiv bila kuficha tuambizane tu ukwel, kule pwani wanao fanya hayo mauaji kila kukicha ni akina nani na wanafanya hivyo kwa lengo gani?
Jifunze kutambua mipaka ya madaraka ya viongozi, Sirro hapo hahusiki.jamaa wanamsumbua sana igp na sirro aisee, si nasikia wameunda mkoa wa kipolisi huko imekuwaje tena, rip marehemu
sawa mkuu hapo nimechemka, nakubaliana na wewe, basi IGPJifunze kutambua mipaka ya madaraka ya viongozi, Sirro hapo hahusiki.